{"title":"Phoenix Publishers","description":null,"products":[{"product_id":"9789966471420","title":"Masagisa na Zimwi Mbilikimo","description":"\u003cp\u003eDada zake Masagisa wanamuonea wivu kwa ajili ya pendo kuu la wazazi kwake. Wanaamua kumtesa kwa kumuacha katika msitu wenye sifa ya makazi ya mazimwi. Masagisa atajimudu?\u003c\/p\u003e","brand":"Gardners","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":56311225352565,"sku":"9789966471420","price":13.99,"currency_code":"GBP","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0612\/7193\/3106\/files\/9789966471420_9acc5057-bb1b-42ae-ac94-d5793d586cb0.jpg?v=1786032930"},{"product_id":"9789966472397","title":"Siku ya Wajinga","description":"\u003cp\u003eZito anausifu ujinga. Darasani imekuwa ni kushikilia nikia kila kunapofanywa mtihani. \"Sikiza,\" anamwainbia rafiki yake Sadiki. \"Ukiwa daktari, utanihudumia nikiwa mgonjwa. Ukiwa mwalimu, utafundisha wanangu, na ukiwa wakili, utanisimamia katika kesi zangu... Katika kazi yoyote ile utakayoajiriwa kufanya, utakuwa ukitutumikia sisi wajinga...\" Lakini siku ya kupata funzo kuwa ujinga haulipi imo njiani....\u003c\/p\u003e","brand":"Gardners","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":56311383097717,"sku":"9789966472397","price":12.99,"currency_code":"GBP","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0612\/7193\/3106\/files\/9789966472397_726fc49d-d408-4515-b4fd-b819eb19f315.jpg?v=1786032932"}],"url":"https:\/\/backstory.london\/collections\/publisher-phoenix-publishers.oembed","provider":"Backstory","version":"1.0","type":"link"}